Nitasimama Mpaka Unipende (Swahili Poem)

Listen to the poem Nitasimama Mpaka Unipende Nitasimama, kima cha urefu wa mbingu, na nyota zake hewani, mpaka nisimame wima. Nitasimama, kutoka kwenye uoga, wa niliyemchagua, lakini akaninyamazisha uhuru wangu. Nitasimama, kutoka kivuli, cha aliyenioa, lakini akanitia aibu hadharani. Nitasimama, kutoka kwenye mapenzi, ya niliyempenda, lakini akanilaani kwa mauaji ya halaiki. Nitasimama, kutoka kwenye ngao, za niliyemkimbilia, lakini akanikabidhi kwenye ulemavu. Nitasimama, kutoka mikono michafu, ya yule niliyemuamini, lakini...

I am Rising Until You Love Me

Listen to the poem I am Rising Until You Love Me  *1 Billion Rising on Valentine's Day 2013. How are you rising? I am through a poem. I am rising to the top of the heavens and the stars above, until I stand upright. I am rising from the cowardness of the one...

Ich Erhebe Mich Bis Du Mich Liebst (ein Gedicht)

Das Gedicht hören Ich Erhebe Mich Bist Du Mich Liebst *Herzlichen Glückwunsch zum Valentinstag. Lassen Sie uns heute gemeinsam One Billion Rising stellen. Ich erhebe mich, zum Himmel empor, und den Sternen darüber, bis ich aufrecht stehe. Ich erhebe mich, aus der Feigheit, die ich aussuchte, die meine Freiheit zum schweigen brachte. Ich erhebe mich, aus...

Being 2012 AuthorHouse Guest Blogger

In July 2012 I received an email inviting me as a self published author to promote my written work and interact with fellow authors. By end 2012 I had contributed six articles. The writing has been a fulfilling experience  as I learned from other authors...

Swahili Poem Reading: Johari ya Upendo

La azizi wangu nakupenda na heshima nakupatia, kwa johari uliyonivisha ya kunienzi na kunitukuza. Niliposhindwa kukuzalia, ulinipa mahaba tele kunionyesha uwazi wako penzi lako halina mwisho. Ndugu walipokushawish, na kukulaghai wazi wazi, kugawa penzi lako nje ulinitegemeza na huba tele. Dhahabu na almasi, yakuti na vito tele, yote hayo hayana maana kama johari ya upendo wako. Naomba baraka za mola tuendelee kupendana, atuneemeshe...

New Book Release: The Wisdom Huntress

The Wisdom Huntress: Anthology of Thoughts and Narrations - Gloria D. Gonsalves - African Literary Collection (October 2012) “This book is an anthology of thoughts and narrations, whereby each is enriched with opening sentence of an interrelated African proverb or Swahili saying. One easily notes that the...