This poem is inspired by the photo above, which was taken in August 2020 while on holiday in Austria. DIRISHANI Aliyezoea shombo hafungui dirishakwake mnuko shobo ndiyo maisha.Roho yako sio mtumwa wa uchafuifungulie dirisha lake ya nuru takatifu.Anayekubeza kwa kauli zake uvundomwambie dirisha lako lina kali nondo.Wasifu wako bado unawaka chetezoninukisha waliomo ndani na pembezoni.Kuwa…